SLEEK VICK AJIBU MAPIGO YA FEMI ONE.ย 

Punde tu baada ya rapa wa kike anaekwenda kwa jina la Femi One kurusha kombora kwa marapa wenzake, sasa rapa chipukizi kwa jina la Sleeck Vick amejibu mapigo ya rapa huyo kwa kumchana na kumuita star huyo femi plan kwa maana ya (family plan) 

Msanii Sleeck Vick

Msanii anayefanya kazi na lebel ya KAKA EMPIRE kwa jina la SHIKOW FEMI ONE

Alipoulizwa kwenye mahojiano kuwa rapa huyo anabifu na femi one alisema. “mimi sina beef na femi one na nilimuchana tu kwa kua alirusha kombora na alihitaji kujibiwa kwa kombora na wala sina ubaya wowote na Femi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s