MZIKI PWANI…..  .👓🔂

Siku zote unapoendea mtu  yeyote kwa ajili msaada wa chakula……wahenga walitunasihi kwa busara zao.. itakua bora na sahihi endapo mtu yule atakuonyesha jinsi ya kutafuta chakula na sio kukupa chakula…. Mziki wa pwani ni baadhi ya vitu ambavyo vimewainua wapwanikiuchumi na hata kimaendeleo…. kwa mtazamo wangu mziki wa pwani ungepata nafasi katika Radio za Kitaifa na Runinga ungeweza kutoa changamoto kwa majirani wetu Bongo na Nigeria. Huenda kuna mtu anajiuliza ninachomaanisha ni nini haswa…. Ni kweli kuna baadhi ya wasanii wa pwani ambao wapo kwenye chat na airplay za radio na Runinga za kitaifa kila siku ……nazungumzia Susumila, Dazlah Kiduche, Ally B, Sudiboy, Otile Brown, Chikuzee, Nyota Ndogo,Dogo Richie 

na wengineo ambao kwa kiasi fulani mziki wao unatoa changamoto kwa soko la mziki afrika mashariki na kati…… lakini hawatoshi kuna vijana ambao wakipewa nafasi basi wanaweza kuwapiku wabongo asilimia mia baadhi yao ni Wynas Willy, Kigoto Mmbonde,Wasojali band, Yakwetu band, Mchafuzy, Ara Stanley, Ziky,Shembwana Masauti, Kaa la Moto Mr.Shepherd 

na wengineoNtakua mtovu wa adabu na heshima endapo ntaongelea mziki wa pwani bila kuwapa mkono wa tahania magwiji watangazaji wa pwani ambao wamehakikisha mziki wa pwani unasonga mbele …. Gates mgenge, Dj Lenium, Siz Shanniz,Ken Wekesa, Lucas De Mackinnon, Chigulu Ngala bila kuwasahu Mzazy Willy M Tuva, Mwende Macharia, Mtetezi Mwinyi Kazungu, Allan Wakori ambao wamejaribu kuupenyeza mziki wa pwani kwenye radio za kitaifa

Kama nilivyotangulia kusema nikihitaji chakula nionyeshe jinsi ya kutafuta chakula na wala sio kunipa chakula…… changamoto kwa wadau wa muziki wa Kenya kuwapa vijana nafasi ili waeze kuwapa changamoto wenzetu wabongo na wana afrika mashariki kwa ujumlaAdvertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s