Featured

Nilihukumiwa Miaka Mitano gerezani..#kaplotimwenyewe

Alitoweka ghafla kwenye industry ya muziki baada ya kutamba na kibao kaploti……..msanii KANT-ONA a.k.a kaplotimwenyewe. Sasa amerudi na historia yenye kutia moyo kwa wasanii waliokata tamaa. Akihojiwa na Mwinyi Kazungu kwenye kipindi cha TopMashariki cha Kbc radio Taifa kaploti alifunguka mengi kuhusu maisha yake kama habusu katika gereza la Kamiti Maximum prison. “nilifungwa jela kwa kesi […]

Read More Nilihukumiwa Miaka Mitano gerezani..#kaplotimwenyewe

Nick Minaj Hachelewi Kutimiza Ahadi…..Awalipia Ada Ya Shule Mashabiki..

Mwanadada Nick Minaj atekeleza ahadi aliyoitoa kwa shabiki zake kwa kulipa ada za shule. Nicki alianzisha shindano la kukutana na shabiki zake na kuwalipia nauil kokote dunia iliakutane ane. Ndipo moja ya shabiki akabadiri sura ya mchezo huo na kupelekea kulipiwa ada za shule. Nicki Minaj hakuwa akiongea maneno tu. Na tayari ameanza kuwatumia fedha […]

Read More Nick Minaj Hachelewi Kutimiza Ahadi…..Awalipia Ada Ya Shule Mashabiki..

Watangazaji watano wanaopigania mziki wa kizazi kipya pasi na kutambuliwa juhudi zao.

Tenda wema uende zako!! Nadhani hii ndo itakua kauli wanayoitumia wakali hawa wanaoupigania mziki wa kizazi kipya . Ila kwa sasa wasanii wanaowapigania hawawatambui tena . 1.Mwinyi Kazungu Nyawa. Wanamuita superstar, mtetezi ama ukipenda yule tajiri wa mziki wa kizazi kipya. Ni mtangazaji ambaye amewainua wasanii tajika kimziki hapa nchini ambao walipata kusikika kwenye kipindi […]

Read More Watangazaji watano wanaopigania mziki wa kizazi kipya pasi na kutambuliwa juhudi zao.