Kwa hili Nyota Ndogo amewafyata midomo mahasidi wake.

Kwa muda wa kama wiki mbili hivi Msanii mkongwe kutoka Mombasa Mwanaisha Abdalla a.k.a Nyota Ndogo amekua akionyesha mashabiki wake ni jinsi gani anavyoifurahia ziara yake inchini Ujerumani akiwa na Mumewe na mwanawe wa kiume. Amekua akipost baadhi ya kanda na hata picha wakila happy na mumewe Nielsen ambaye pindi anaowana na yeye baadhi ya mahasidi wake walimsuta ila mambo yanaonekana kunoga kwa msanii huyo anayetamba na wimbo wake #siwezi. Hizi ni baadhi

ya picha ambazo #paparazi wetu amezinasa. Kwenye picha ya kwanza Nyota Ndogo na Mavyaa wake yaani mama mzaa mume wake, Ya pili Ni yeye na mumewe huku ya tatu ni watoto wao yaani Huyo mvulana alovaa koti jeusi mtoto wa NIELSEN na huyu mwingine ni wa Nyota Ndogo. #mahasidi_kazi_munayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s