Nilihukumiwa Miaka Mitano gerezani..#kaplotimwenyewe

Alitoweka ghafla kwenye industry ya muziki baada ya kutamba na kibao kaploti……..msanii KANT-ONA a.k.a kaplotimwenyeweSasa amerudi na historia yenye kutia moyo kwa wasanii waliokata tamaa. Akihojiwa na Mwinyi Kazungu kwenye kipindi cha TopMashariki cha Kbc radio Taifa kaploti alifunguka mengi kuhusu maisha yake kama habusu katika gereza la Kamiti Maximum prison. “nilifungwa jela kwa kesi ya mauwaji” alieleza Kaploti. Ila hali hiyo haikumfisha moyo kama msanii na kwamba aliendeleza azma yake ya kufanya muziki hata akiwa mfungwa.kkp

Ili kuwadhihirishia mashabiki wake kwamba KAPLOTI bado anaweza aliachilia wimbo wake mfungwa unaolezea maisha yake kama habusu na vile vile kibao chake maarufu mheshimiwa amerudi wimbo ambao unatoa hamasa kwa wapiga kura…………

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s