Featured

Nilihukumiwa Miaka Mitano gerezani..#kaplotimwenyewe

Alitoweka ghafla kwenye industry ya muziki baada ya kutamba na kibao kaploti……..msanii KANT-ONA a.k.a kaplotimwenyewe.┬áSasa amerudi na historia yenye kutia moyo kwa wasanii waliokata tamaa. Akihojiwa na Mwinyi Kazungu kwenye kipindi cha TopMashariki cha Kbc radio Taifa kaploti alifunguka mengi kuhusu maisha yake kama habusu katika gereza la Kamiti Maximum prison. “nilifungwa jela kwa kesi […]

Read More Nilihukumiwa Miaka Mitano gerezani..#kaplotimwenyewe