Nick Minaj Hachelewi Kutimiza Ahadi…..Awalipia Ada Ya Shule Mashabiki..

Mwanadada Nick Minaj atekeleza ahadi aliyoitoa kwa shabiki zake kwa kulipa ada za shule. Nicki alianzisha shindano la kukutana na shabiki zake na kuwalipia nauil kokote dunia iliakutane ane. Ndipo moja ya shabiki akabadiri sura ya mchezo huo na kupelekea kulipiwa ada za shule. Nicki Minaj hakuwa akiongea maneno tu. Na tayari ameanza kuwatumia fedha […]

Read More Nick Minaj Hachelewi Kutimiza Ahadi…..Awalipia Ada Ya Shule Mashabiki..

Watangazaji watano wanaopigania mziki wa kizazi kipya pasi na kutambuliwa juhudi zao.

Tenda wema uende zako!! Nadhani hii ndo itakua kauli wanayoitumia wakali hawa wanaoupigania mziki wa kizazi kipya . Ila kwa sasa wasanii wanaowapigania hawawatambui tena . 1.Mwinyi Kazungu Nyawa. Wanamuita superstar, mtetezi ama ukipenda yule tajiri wa mziki wa kizazi kipya. Ni mtangazaji ambaye amewainua wasanii tajika kimziki hapa nchini ambao walipata kusikika kwenye kipindi […]

Read More Watangazaji watano wanaopigania mziki wa kizazi kipya pasi na kutambuliwa juhudi zao.

MZIKI PWANI…..  .👓🔂

​ Siku zote unapoendea mtu  yeyote kwa ajili msaada wa chakula……wahenga walitunasihi kwa busara zao.. itakua bora na sahihi endapo mtu yule atakuonyesha jinsi ya kutafuta chakula na sio kukupa chakula…. Mziki wa pwani ni baadhi ya vitu ambavyo vimewainua wapwanikiuchumi na hata kimaendeleo…. kwa mtazamo wangu mziki wa pwani ungepata nafasi katika Radio za […]

Read More MZIKI PWANI…..  .👓🔂

Slick Vick ajibu mapigo ya Femi One

Punde tu baada ya rapa maarufu wa anaekwenda kwa jina la Femi One kurusha kombora kwa marapa wenzake, sasa rapa chipukizi Slick Vick amejibu mapigo ya Femi One kwa kumchana na kumuita msanii huyo femi plan kwa maana ya (family plan) Kwanini uliamua kudis Femi One na si msanii mwingine nlimdis kwa sababu alihitaji kujibiwa […]

Read More Slick Vick ajibu mapigo ya Femi One

UZEMBE NA UPOFU BANDIA SERIKALINI

Kwa muda wa miongo miwili nchi ya kenya imekua ikikumbwa na majanga tofauti ikiwemo,baa la njaa,mafuriko,na mashambulizi ya kigaidi ambayo yamepoteza mamia ya ya maisha ya wananchi wasio hatia. Ukweli halisi ni kwamba hata japo kuwa baadhi ya majanga hayatabiriki na hukumba nchi pasi na kutarajia ila ukweli ni kwamba serikali imezidisha uzembe na upofu […]

Read More UZEMBE NA UPOFU BANDIA SERIKALINI